Radio Kwizera
Haki za Wazee
March 31, 2021, 8:58 pm
Wazee walalamika kutoshirikishwa kwenye vikao vya kijiji na kata Kasharunga, Mul…
Na; Shafiru Asumani Baadhi ya wazee wa Kijiji Cha Kyamworwa kata ya Kasharunga Wilayani Muleba Mkoani Kagera wamelalamikia kitendo cha kutoshirikishwa kwenye vikao vya maendeleo ya vijiji na kata ambavyo vinaweza kuwasilisha kero mbalimbali zinazowakabili.Wazee hao wamesema hayo kwenye mkutano…