Radio Kwizera
Kilimo
May 3, 2021, 7:58 pm
Wakulima 120 Ngara, kunufaika na Mafunzo ya Kilimo hai endelevu
Na; Marco Pastory Jumla ya wakulima 120 wanatarajiwa kunufaika na mafunzo ya awali ya kilimo hai endelevu kwa mazao manne katika vijiji vitano vya wilaya Ngara Mkoani Kagera Mafunzo hayo yaliyofanyika katika kijiji cha Kasulo Wilayani Ngara yameazimia kutoa elimu…