Radio Kwizera

Biashara

April 9, 2021, 5:46 pm

Mbunge wa Ngara alia na Mafuta ya kula

Na; Seif Upupu Serikali imetakiwa kuendelea kuboresha sekta ya Kilimo hususani kilimo cha Alizeti na Michikichi ili kukabiliana na tatizo la upungufu wa mafuta ya kupikia Kauli hiyo imetolewa leo na Mbunge wa Jimbo la Ngara Bw Ndaisaba George Ruhoro…

April 9, 2021, 12:58 pm

Wakamatwa na Mifuko ya Plastiki Bukoba

Na; Anord Kailembo Wafanyabiashara 15 katika Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera wamekamatwa na Idara ya Afya na Mazingira baada ya kukutwa na mifuko ya Plasitiki inayozuiliwa na Serikali. Afisa Mazingira wa Manispaa ya Bukoba Bw Tambuko Joseph amesema wafanyabiashara hao…

March 30, 2021, 6:47 pm

Wafanyabiashara Kigoma wana imani na Dr Mpango

Na; Phillemon Golkanus Wafanyabiashara mkoani Kigoma wamesema wana imani kubwa na Makamu wa Rais Mteule Dr Phillip Mpango hata kabla ya kuteuliwa katika wadhifa huo mpya Wafanyabiashara hao wamesema Dr Mpango ni kiongozi mwenye maono na mipango mikubwa ya kukuza…