Radio Jamii Kilosa

Wadaiwa sugu

14 January 2021, 2:31 pm

Takukuru yaokoa shilingi milioni 8.3 Kilosa.

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro imefanikiwa kuokoa fedha kiasi cha shilingi milioni 8,300,000 Kati ya milioni 212,503,559.29 ambazo chama cha Ushirika wa Akiba na mikopo cha Walimu Wilayani humo (Kilosa Teachers Saccos) kinadai…