Radio Jamii Kilosa
Uchumi
28 February 2021, 11:23 am
Zaidi ya shilingi bilioni 1.6 za Saccos ya Walimu kilosa zimepotea walio husika…
Chama cha ushirika Saccos ya Walimu Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro kimepoteza fedha zaidi ya shilingi Bilioni 1.6 baada ya wanachama na wanufaika wengine kukopa na kushindwa kurejesha kwa wakati kutoka mwaka 2007 hadi 2017 ambapo Mrajisi msaidizi wa vyama…