Radio Jamii Kilosa
Afya
17 December 2020, 9:13 am
Wananchi wahimizwa kukata kadi za bima ya afya – RC Morogoro
Wananchi Wilayani Kilosa na Mkoa wa Morogoro kiujumla wamehimizwa kukata kadi za bima ya afya kwa ajili ya familia zao kwani kadi hizo ni muhimu na zinasaidia kupata matibabu kwa urahisi hata nyakati ambazo mtu anakuwa hana fedha kwa ajili…