Radio Fadhila

News

17 February 2021, 9:56 AM

Barcelona wanyooshwa na PSG mabao 4-1

LICHA ya kutupia bao la kwanza mapema dakika ya 27 kwa mkwaju wa penalti,kupitia kwa Lionel Messi bado ilikubali kichapo cha mabao 4-1 mbele ya PSG, mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, hatua ya 16 bora. Barcelona imekuwa kwenye wakati…

12 January 2021, 3:18 AM

Rais Mwinyi Asamehe Wafungwa 49

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa msamaha kwa wanafunzi (wafungwa) Arobaini na Tisa (49) waliokuwa wakitumikia Vyuo vya Mafunzo vya Unguja na Pemba ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra za Sherehe za…