Pangani FM
UKATILI
1 February 2021, 7:16 pm
Viongozi wa Dini watakiwa kuendelea kukemea vitendo vya Ukatili.
Viongozi wa dini wilayani Pangani wametakiwa kuendelea kukemea vitendo vya ukatili katika jamii. Akizungumza kwenye maadhimisho ya Wiki ya Sheria na Miaka 100 ya Mahakama Katibu tawala wa wilaya kwa niaba ya Mkuu wa wilaya ,Mwalimu Hassani Nyange amehimiza juu…