Pangani FM
RAMADHANI
14 April 2021, 12:34 pm
Sheikh Mkuu Pangani atoa neno bei za vyakula msimu wa Ramadhani
Baraza kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kupitia kwa Sheikh Mkuu wa Wilaya ya Pangani limetoa wito kwa Wafanyabiashara wa bidhaa za vyakula Wilayani Pangani kutopandisha bei za bidhaa za hizo katika kipindi cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.. Akizungumza na Pangani…