Pangani FM

CORONA

4 August 2021, 5:37 pm

Waliojitokeza kupokea chanjo ya Corona Pangani.

Halmashauri ya Wilaya ya Pangani Mkoani Tanga leo imeanza zoezi la utoaji wa Chanjo ya virusi vya Corona kwa makundi yaliyopewa kipaumbele ikiwemo watoa huduma za afya, watu wenye magonjwa sugu na wazee. Viongozi wa Serikali, taasisi, watumishi wa afya…

20 July 2021, 8:06 pm

Mmoja ashukiwa kufariki kwa Corona Pangani

Hospitali ya Wilaya ya Pangani Mkoani Tanga imethibitisha kifo cha mtu mmoja kutokana na ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na Virusi vya Corona ambavyo vimeripotiwa kuwa katika wimbi la tatu hivi sasa (DELTA). Hayo yamesemwa na Mganga Mfawidhi katika Hospitali ya…