Pambazuko FM Radio
Zahanati
1 July 2021, 6:20 am
Zahanati Lumemo Kukamilika,Mwenyekiti aeleza
Na: Vitalisi Magalitele Serikali ya Kijiji cha Lumemo kata ya Lumemo Wilayani Kilombero imeingiziwa fedha kiasi cha shilingi Milioni 15 kutoka Serikali ya Halmashauri ya mji wa Ifakara kwa ajiri ya kusaidia ujenzi wa Zahanati Kijijini humo Akizungumza na pambazuko…