Pambazuko FM Radio
Uvuvi
1 July 2021, 6:11 am
Wavuvi Funga Waiangukia Serikali ya Kijiji,Waomba Waachwe
Wavuvi katika Kambi ya Funga iliyopo katika kijiji cha Kivukoni Kata ya Minepa Halmashauri ya wilaya ya Ulanga wameuomba Uongozi wa Kijiji hicho kuwaacha waendelee kubaki katika Kambi hiyo kufanya shughuli za Uvuvi huku wakieleza kuwa wako Tayari kufuata taratibu…