Orkonerei FM
Lishe bora
2 April 2022, 8:53 pm
watendaji wa halmashauri ya Arusha wametakiwa kuzingatia lishe bora kwa wananchi…
Na. Nyangusi ole sang’da Arusha. Maafisa Watendaji wa Kata na Vijiji, halmashauri ya Arusha, wametakiwa kuzingatia mkakati wa Serikali juu ya masuala ya Lishe bora ya wananchi katika maeneo yao, kupitia mkataba wa Lishe waliosaini, lengo likiwa kuondoa hali ya…