Orkonerei FM
CCM ARUSHA YAKAGUA MRADI WENYE THAMANI YA MILION TSH.470
16 March 2022, 7:41 pm
ZIARA YA KAMATI YA SIASA WILAYA YA KICHAMA MERU KUKAGUA UTEKELEZAJI WA MIRADI.
HABARI ARUSHA. Kamati ya Siasa Wilaya ya Kichama Meru imepongeza utekelezaji wa miradi yenye thamani ya Shilingi Milioni 470 inayoendelea katika Shule mpya ya Ambureni. Akizungumza wakati wa Ziara Shuleni hapo Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM )Wilaya ya kichama…