Nuru FM

Usafirishaji

3 July 2024, 8:42 am

Omoti: Msipandishe nauli kwa wanafunzi

Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imesema itawachukulia hatua za kisheria  mabasi yanayotoa huduma ya usafiri kwa wanafunzi kuacha tabia ya kupandisha nauli. Na Godfrey Mengele Kampuni za Usafirishaji Abiria Mkoani Iringa zimetakiwa kutopandisha nauli kipindi hiki ambacho shule zimefunguliwa…

5 June 2024, 11:33 am

Manispaa ya Iringa kuhuisha usajili wa bajaji

Hatua ya Serikali ya kuweka mfumo mpya wa usajili wa namba za pikipiki na bajaji inalenga kuweka mfumo na utaratibu mzuri wa uratibu wa vyombo hivyo vya usafiri kwa lengo la kuhakikisha usafiri huo unakuwa salama, ikiwa ni pamoja na…