12 August 2023, 3:22 pm

Tadio yatoa mafunzo kwa waandishi wa Radio Mtegani

Watangazaji na waandishi wa habari wa radio jamii Mtegani FM Makunduchi Zanzibar wametakiwa kutumia mtandao wa Radio Tadio ili kuifikia jamii kimataifa. Na Fatma Saleh Ushauri huo umetolewa  na mhariri wa jukwaa la kupashana habari la Radio Tadio lililo chini…

Offline
Play internet radio

Recent posts

12 December 2024, 11:18 pm

Tadio yatoa mafunzo kwa waandishi wa Mtegani FM Radio

Mhariri wa Radio Tadio Hilali Ruhundwa (Aliyenyoosha kidole) akitoa mafunzo kwa waandishi wa habari wa Radio Mtegani FM. Picha na Saumu Ali Haji Watangazaji na waandishi wa habari wa radio jamii Mtegani FM Makunduchi Zanzibar wametakiwa kutumia kalamu zao vizuri…

30 November 2024, 12:14 pm

Jamii yatakiwa kuacha mfumo dume, iruhusu wanawake kusikiliza redio jamii

Wananchi Wa Kijiji Cha kizimkazi Mkunguni Watakiwa Kuacha Mila Potofu Za Kutowaruhusu Wanawake Kutumia Radio Jamii. Na Mwaka Mohd Mwita. Hayo yamesemwa na Ustadh Yahya katika kijiji cha Kizimkazi Mkunguni wakati akiongea na Mtegani FM radio. Amesema kuwa jamii sasa…

12 August 2023, 3:22 pm

Tadio yatoa mafunzo kwa waandishi wa Radio Mtegani

Watangazaji na waandishi wa habari wa radio jamii Mtegani FM Makunduchi Zanzibar wametakiwa kutumia mtandao wa Radio Tadio ili kuifikia jamii kimataifa. Na Fatma Saleh Ushauri huo umetolewa  na mhariri wa jukwaa la kupashana habari la Radio Tadio lililo chini…

12 August 2023, 1:43 pm

Taasisi zisizo za kiserikali Kusini Unguja zachochea maendeleo Kizimkazi

Wakazi wa kijiji cha Kizimkazi Mkunguni wilaya ya Kusini Unguja wameendelea kunufaika na mafunzo na miradi inayotolewa na taasisi zisizo za kiserikali kijijini kwao. Na Miraji Manzi Kae Kuwepo kwa taasisi zisizo za kiserikali zinazofuata taratibu za maeneo husika kuwawezesha…

28 September 2021, 10:27 am

Udhalilishaji katika mkoa wa Kusini

Mkuu wa kitengo cha kuziua ukatili wa kijinsia katika jeshi la polisi wilaya kusini Unguja, akiwa katika kituo cha Radio jamii kuelezea jinsi ya tatizo linavyo pungua katika Mkoa wa kusini Unguja.

Mtegani FM

This is radio Mtegani five years Strategic Plan (SP) from 2020 to 2025. It is the first SP ever developed intending to guide the station in its core mandate of serving the Unguja south region.  This SP is a result of many hands including staff, Board of Directors and community through what we call “community camps”. Thus create the structure of Mtegani community composed of community at the top, Board of Directors, Staff and the Community again at the bottom. The SP therefore presents the station’s background, key milestones, internal and external analysis, strategic objectives, strategic activities, operational plan, budget and annexes; policies and rules.

Vision

Mtegani aims to improve the development of the community of southern region where the community people utilize reliable and credible information for their positive self-development

Mission

To enable community to utilize reliable and credible information for their positive self-development