Mpanda FM

URAIA

19 November 2021, 12:33 pm

Elimu ya Uraia Itolewe

Wananchi wa wilaya  ya  mpanda mkoani katavi wameiomba serikali kupitia idara ya uhamiaji kutoa elimu ya uraia ili kuwajengea wananchi uelewa katika masuala ya uraia. Wakizungumza kwa nyakati tofauti na mpanda redio baadhi ya wananchi wamesema hawana elimu ya kutosha…