Mpanda FM

Bima

2 July 2024, 6:56 pm

TIRA yasisitiza wananchi Katavi kujiunga na bima

Kamishna wa Bima Tanzania TIRA Bagayo Saqwale mwenye tai pamoja na RC Katavi Mwanamvua Mrindoko wanne kutoka kushoto katika picha ya pamoja na viongozi wengine. Picha na Ben Gadau “Kutumia bima kuna faida yanapotokea majanga huku akisema wanatarajia kusogeza huduma…