Mazingira FM
uchaguzi
8 March 2024, 4:58 pm
Marufuku kuharibu picha za wagombea kipindi cha kampeni uchaguzi mdogo Mara
Ubanduaji,kuchana picha za wagombea ni marufuku kipindi cha kampeni uchaguzi mdogo Mara Tume ya taifa ya uchaguzi NEC imekemea vitendo vya ubanduaji au kuchana picha za wagombea au kubandika picha ya mgombe juu ya picha ya mgombea mwingine wakati wa…
8 March 2024, 4:52 pm
Lugha za matusi marufuku kampeni za uchaguzi mdogo Mara
Viongozi wa vyama vya siasa na wafuasi wao wameonywa juu ya matumizi lugha za matusi na kejeli wakati wa kampeni za uchaguzi zinazoendelea katika kata 2 kwa mkoa wa Mara zinazotarajia kufanya uchaguzi mdogo wa udiwani mnamo March 20, 2014…