Karagwe FM

karagwe fm

15 April 2021, 1:25 pm

Miradi 19 yalamba Milioni 250.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Missenyi Innocent Mukandala amesema kuwa Kamati ya Fedha Utawala na Mipango leo alhamisi tarehe 15 April 2021 imeanza ziara ya siku 2 ya kufuatilia na kukagua miradi ya Maendeleo 19 yenye thamani ya zaidi…

14 April 2021, 5:53 pm

“Viongozi wa chama na serikali tekelezeni Ilani”

Wanachama na viongozi wa serikali wametakiwa kuwa wamoja katika kuwahudumia wananchi ili kufikia maendeleo yanayotarajiwa Amesema hayo katibu wa chama cha mapinduzi CCM wilaya ya Karagwe mkoani Kagera Bw.Anathory Nshange wakati wa ziara yake ya kuimarisha utawala bora ndani ya…

Nyaishozi Fc

13 April 2021, 7:17 pm

Nyaishozi fc kufa kupona ligi ya mabingwa.

Timu ya mpira wa miguu Nyaishozi ya wilaya Karagwe mkoani Kagera imejipanga vyema kuhakikisha inasonga mbele katika hatua inayofuata kwenye ligi ya mabingwa wa Mikoa (RCLFinals 2021). April 12 mwaka huu timu hiyo ambayo ni Mshindi wa mkoa Kagera imesafiri…

Shekhe Nassibu Adu

12 April 2021, 9:29 pm

Watakiwa kufunga na kutoa sadaka

Waumini wa dini ya Kiislamu wilayani Karagwe wametakiwa kuwasaidia watu wenye uhitaji wakati wa mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhani ili wapate baraka toka kwa Mwenyezi Mungu. Haya ni kwamujibu wa Shekhe Nassibu Abdu Abdallah Shekhe wa wilaya Karagwe ambaye…

WAZIRI BASHUNGWA

8 April 2021, 12:50 pm

Ni Tv za online kwanza

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa ameagiza TCRA kuzifungulia TV za mtandaoni zote (Online TV) ambazo zilifungiwa ikiwa utekelezaji wa maelekezo ya Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aliyoyatoa April 06 ,2021…