

4 September 2023, 1:02 pm
Na Ospicia Didace Karagwe Mkurugenzi wa idara ya mashirika ya kipapa ya kimisionari ametoa msaada wa vyakula, nguo na vifaa vya kujifunzia vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni tatu kwa wanafunzi wa shule msingi Mwoleka Mseto iliyoko Chabalisa katika…
3 September 2023, 5:42 pm
Asilimia kubwa ya watoto katika vitongoji 3 vya kashasha,mjunju na Bweranyange katika kata ya Bweranyange wilayani Karagwe wanashindwa kuendelea na masomo yao kutokana shule kuwa mbali jambo lililowafanya wananchi wa vitongoji hivyo kuanza ujenzi wa shule shikizi ili kuwanusuru watoto…