Kahama FM
WACHIMBAJI
April 9, 2021, 8:14 am
Wachimbaji wadogo watinga ofisi za DC na mabango ya kumkataa mwekezaji.
Mgogoro wa mara kwa mara kati ya wachimbaji wadogo na watu wanaopewa leseni za uchimbaji na tume ya madini katika mgodi wa Bulambaka ulioko katika Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu umeingia katika sura mpya. Mgogoro huo umewalazimu wachimbaji wadogo kuandamana…
April 2, 2021, 7:36 am
Wachenjuaji wa dhahabu wajenga kituo cha Polisi
MKUU wa Wilaya ya Shinyanga, Jasinta Mboneko ameeleza kuridhishwa na kasi ya ujenzi wa kituo cha Polisi kilichopo kwenye machimbo ya Dhahabu Mwakitolyo wilayani Shinyanga, ambacho kitasaidia kuimarisha ulinzi na usalama katika eneo hilo. Mboneko amebainisha hayo leo alipofanya ziara…