Kahama FM
UVIKO 19
August 23, 2021, 7:47 am
KAHAMA:Tamasha la Michezo,Afya na biashara kuanza leo,Wafanyabiashara 3000 kushi…
Zaidi ya wafanyabiashara 3000 kutoka maeneo mbalimbali ya Tanzania wanatarajia kushiriki mazoezi ya viungo ili kujikinga na ugonjwa wa Uviko 19 pamoja na Maonesho ya Biashara yatakayofanyika katika uwanja wa taifa wilayani Kahama mkoani Shinyanga kuanzia Jumatatu Agosti 23 hadi…
August 18, 2021, 9:15 pm
Wafanyabiashara Kahama waziomba mamlaka za afya kuendelea kutoa elimu ya kujiki…
Baadhi ya wafanyabiashara katika soko la Namanga lililopo Manispaa ya Kahama Mkoani Shinyanga wameiomba serikali kuendelea kutoa elimu ya kujikinga na UVIKO 19 kwa wafanyabiashara na wananchi kwa ujumla. Wakizungumza na KAHAMA FM wafanyabiashara hao wamesema licha ya elimu kutolewa…