Kahama FM

siasa

March 30, 2021, 11:50 am

Philip Mpango apendekezwa kuwa Makamu wa Rais wa Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania SAMIA SULUHU HASSAN amempendekeza Waziri wa Fedha Dk. Philip Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kinachofuata sasa ni Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuthibitisha jina lake…