Kahama FM
nkulila
August 23, 2021, 7:36 am
TANZIA:Meya wa manispaa ya Shinyanga David Nkulila afariki dunia.
Mstahiki Meya wa Manispaa 1ya Shinyanga David Mathew Nkulila ambaye ni Diwani kata ya Ndembezi David Nkulila amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumatatu Agosti 23,2021 wakati akiendelea kupatiwa matibabu kutokana na kuugua kwa muda mrefu. Msiba upo nyumbani kwake mtaa…