Kahama FM
Mara
March 30, 2021, 8:47 am
Babu wa miaka 52 aoa Binti wa Darasa la sita kwa mahali ya N’gombe wawili.
Katika tukio la kushangaza, mzee mwenye umri wa miaka 52 anadaiwa kumuoa mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Bugire iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Rorya mkoani Mara. Vyanzo vyetu vya uhakika kutoka Rorya vimeeleza hivi karibuni kuwa…