Joy FM

wakimbizi

13 May 2024, 15:41

UNHCR na tanzania zatoa msimamo kwa wakimbizi wa burundi.

Wakimbizi wa nchi ya burundi wanaohifadhiwa mkoani Kigoma, wametakiwa Kurejea Nchini Burundi mara moja ili kuungana na ndugu zao kujenga Taifa hilo,  kabla ya kufutiwa hadhi ya Ukimbizi  na kukosa misaada ya Kibinadamu ifikapo Mwezi Desember Mwaka huu. Na, Lucas…

10 May 2024, 15:16

Wakimbizi waaswa kuacha uharifu kambini nyarugusu

Serikali ya tanzania kwa kushirikiana na mashirika ya umoja wa mataifa yamekemea vikali vitendo vya baadhi ya wakimbizi wanaojihusisha uhalifu ndani na nje ya kambi hiyo kwani imekuwa ikihatarisha amani kwa wenyeji wa tanzania. Na Kadislaus Ezekiel – Kasulu Wakimbizi…

27 March 2024, 16:00

wakimbizi wapewa miezi 9 kurudi Burundi kwa hiari

Zaidi ya Wakimbizi Laki Moja Kutoka Nchini Burundi wanaohifadhiwa Katika Kambi za Wakimbizi NDUTA na NYARUGUSU Mkoani Kigoma, Wamepewa miezi tisa kuanzia sasa wote wawe wamerudi nchini Burundi kwa hiyari, Kabla ya kufutia hadhi ya ukimbizi ili kuungana na ndugu…