Joy FM

upatikanaji wa dawa

12 March 2024, 13:24

Madiwani Kibondo wasisitiza upatikanaji wa dawa muhimu

Madiwani katika halmashauri ya wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma wameitaka idara ya afya wilayani humo kuhakikisha dawa muhimu zinapatikana muda wote katika zahanati, vituo vya afya na hospitali ya wilaya ili kuondoa usumbufu kwa wagonjwa  hasa wajawazito, watoto na wazee.…