Joy FM

Siasa

15 January 2024, 10:10

Mpango awataka vijana kuepuka lugha chafu mitandaoni

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt.Philipo Mpango Amewataka vijana kote nchini kuachana na matumizi ya lugha zenye viashiria vya uchochezi wa uvunjifu wa amani hasa wakati huu ambao Taifa linajiandaa na uchaguzi wa serikali za mitaa.…