Joy FM

malezi

15 May 2024, 09:40

Migogoro ya kifamilia huathiri malezi na makuzi ya watoto

Serikali ya mkoa wa Kigoma imesema kuwa wazazi kwa kushirikiana na jamii hawana budi kukaa na kutatua migogoro ya familia ili iwe suluhisho la watoto kukua katika maadili na malezi bora. Na Josephine Kiravu – Kigoma Katibu tawala mkoani Kigoma…

22 April 2024, 12:56

Suluhisho kupata viongozi bora Kigoma lapatikana

Wazazi na Walezi wilayani Kasulu mkoani Kigoma wameaswa kuwalea watoto wao katika maadili mema ambayo yatawasaidia kuwa viongozi bora katika jamii inayowazunguka. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi wa kanda ya kati wa kanisa la Anglikana Nyumbigwa Dayosisi ya Western Tanganyika Mchungaji…