Joy FM
Joy FM
7 November 2024, 16:55
Serikali katika Halmashauri za Wilaya Kibondo na Kakonko imesema itaendelea kushirikiana na wadau wa maendeleo ili kuwasaidia vijana mikopo inayotolewa kwa ajili ya kuhakikisha wanapata mafanikio kupitia shughuli mbalimbali na kuwaepusha na mimba za utotoni. Na James Jovin – Kibondo…
7 November 2024, 14:50
Pichani ni Mkaguzi msaidizi wa polisi ambaye pia ni Mkuu wa kitengo cha dawati la jinsia wilaya ya Kasulu Maimuna Omari wakati akizungumza na wananchuo wa FDC Kasulu. Mkaguzi msaidizi wa Polisi ambaye pia ni Mkuu wa dawati la jinsia…
7 November 2024, 12:41
Serikali imesema itaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali wa maendeleo ili kuhakikisha wanasaidia kukamilisha ujenzi wa jengo la kulea watoto lililopo katika chuo cha maendeleo ya wananchi Kasulu FDC. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Mkuu wa chuo cha maendeeo ya wananchi…
6 November 2024, 09:35
Wananchi katika Manispaa ya Kigoma Ujiji, wametakiwa kutumia maji safi na salama kwa matumizi ya kunywa kutoka kwenye vyanzo sahihi vya maji ili kuepukana na magonjwa ya mlipuko hasa kipindupindu. Hayo yamesemwa na afisa afya Mkoa wa Kigoma Bw. Nesphori…
5 November 2024, 15:34
Manispaa ya Kigoma Ujiji Mkoani Kigoma imesema itaendelea kugawa miche ya michikichi kwa wakulima ili kuhakikisha inatekeleza agizo la Waziri Mkuu wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa la kila halmashauri kugawa miche kwa wakulima kama mkakati wa kukabiliana na uhaba wa…
5 November 2024, 13:09
Serikali kupitia idara ya katika Halmashauri ya mji wa Kasulu Mkoani Kigoma imewataka wanawake hasa wajawazito kuhidhuria kliniki na kutumia dawa wanazoelekezwa na wataalamu wa afya waweze kujifungu watoto wakiwa hawana matatizo. Na Michael Mpunije – Kasulu Baadhi ya wanawake…
5 November 2024, 09:20
Wananawake Mkaoni Kigoma wametakiwa kutumia makongamamano mbalimbali ikiwemo Kigoma Ladies Gala ili kuweza kujifunza na kutambua fursa zitakazoweza kuwainua kiuchumi na taifa kwa ujumla. Na Joha Sultan – Kigoma Baadhi ya Wanawake mkoani Kigoma wameshauriwa kutumia fursa mbalimbali zilizopo mkoani…
4 November 2024, 08:33
Serikali imesema itaendelea kuboresha miundombinu mbalimbali na huduma za jamii ili kusaidia kuinua uchumi wa wananchi na taifa kwa ujumla. Na Lucas Hoha – Kigoma Zaidi ya shilingi bilioni 16 zimetengwa na serikali kwa ajili ya ujenzi wa Soko la…
29 October 2024, 11:09
Serikali Mkoani Kigoma kupitia kwa Mkuu wa mkoa huo Kamishana Jenerali Mstaafu wa Jeshi la zimamoto na uokoaji Thobias Andengenye serikali imeendelea kuufaungua mkoa wa kigoma kwa kujenga na kuboresha miundombinu ya barabara na kurahisisha Mkoa wa kigoma kufunguka kibiashara…
28 October 2024, 15:32
Madaktari bingwa na mabingwa bobezi 31 wameanza Kambi ya matibabu ya Siku Tano ikiwa ni katika kuadhimisha miaka Hamsini (50) tangu kuanzishwa kwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kigoma Maweni. Na Lucas Hoha – Kigoma Wananchi Mkoani Kigoma wamepongeza…