Joy FM
Joy FM
24 January 2025, 12:48
Utoaji wa mikopo kwa vikundi vya vijana, wanawake na watu wenye ulemavu inatajwa kuwa mkombozi kwa wanufaika wa mikopo hiyo kiuchumi. Na Hagai Ruyagila Halmashauri ya Mji Kasulu mkoani Kigoma imekabidhi hundi ya mkopo wa zaidi ya shilingi milioni 34…
24 January 2025, 09:06
Serikali imesema kuwa itaendelea kuboresha bandari nchi kwa lengo la kuwavutia wawekezaji kutoka ndani na nje ya nchi. Na Kadislaus Ezekiel Waziri wa Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa amesema Serikali imedhamiria kuufungua mkoa wa kigoma kupitia sekta ya usafirishaji kwa njia…
24 January 2025, 08:42
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Thobias Andengenye amewataka wananchi kujitokeza kushiriki kwenye kampeni ya Mama Samia Legal Aid ili waweze kupata elimu ya masuala ya kisheria. Na Josephine Kiravu Imeelezwa kuwa uelewa wa kisheria kwa wananchi hasa wanaoishi maeneo ya…
21 January 2025, 16:07
Wavuvi wanaofanya shughuli zao katika ziwa Tanganyika wametakiwa kutumia zana za uvuvi zilizoruhusiwa na kuainishwa wakati wa kuvua ili kulinda mazalia ya samaki. Na Josephine Kiravu – Kigoma Waziri wa Mifugo na Uvuvi Dkt. Ashatu Kijaji amezindua kiwanda cha kuchakata…
20 January 2025, 17:05
Wakati Taifa likielekea kwenye uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani viongozi wa dini wameendelea kuhamasisha wananchi kushiriki katika uchaguzi huo ambao ndio utatoa mwelekeo wa miaka mitano ijayo. Na Hagai Ruyagila Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania Fabian…
20 January 2025, 11:44
Ujenzi wa vyoo bora kwa kila kaya inatajwa kuwa sehemu ya mapambano dhidi ya magonjwa ya mlipuko ikiwemo kipindupindu. Na Michael Mpunije Wakuu wa kaya Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kujenga vyoo bora na kuzingatia kanuni za…
20 January 2025, 11:06
Kila mzazi ana wajibu wa kuhakikisha mtoto wake anapata haki ya elimu bora na elimu bora huanza na maandalizi bora kwa mtoto. Na Hagai Ruyagila Wazazi na walezi wilayani Kasulu mkoani Kigoma wametakiwa kutambua umuhimu wa elimu kwa kuwapeleka shule…
17 January 2025, 17:04
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Thobias Andengenye amelazimika kukutana na madereva bodaboda na kusikiliza Kero zao ikiwa ni wiki moja imepita tangu waandamane na kufunga barabara wakishnikiza Jeshi la Polisi kuacha kuwakata. Na Josephine Kiravu Mkuu wa Mkoa wa Kigoma…
13 January 2025, 13:01
Uomaji wa mapato na matumizi kwa wananchi ni miongoni mwa viyu ambavyo vinatajwa kuwa sehemu ya kushawishi wananchi kushiriki kikamilifu kwenye suala la maendeleo kwenye maeneo yao. Na Michael Mpunije – Kasulu Viongozi Serikali za vijiji halmashauri ya wilaya ya…
11 January 2025, 12:19
Siku chache baada ya madereva pikipiki maarufu bodaboda mjiji Kigoma kufanya maandamano kufuatia Oparesheni ya Jeshi la Polisi ya kamatakamata madereva ambao wanakiuka sheria za usalama barabarani iliyosababisha vurugu hatimaye Mkuu wa wilaya Kigoma ameitisha kikao na madereva hao ambapo…