Joy FM

Usalama

28 June 2024, 12:32

Wafanyabiashara watakiwa kutumia vifaa vya kuzimia moto

Jeshi la zimamoto na uokoaji wilayani kasulu mkoani kigoma limesema wafanyabiashara na jamii kwa ujumla hawana budi kutumia vifaa vya kuzima moto hasa kwenye nyumba zao ili kusaidia pale majanga yanapotokea. Na Michael Mpunije – Kasulu Wafanyabiashara wilayani Kasulu Mkoani…

20 June 2024, 13:25

Jamii yatakiwa kupiga vita ukatilii kwa watoto

Jamii na wadau wa maendeleo wilayani kasulu mkoani kigoma imetakiwa kushirikiana kutoa elimu ya kupinga vitendo vya ukatilii kwa watoto. Na Emmanuel Kamangu – Kasulu Halmashauri ya Mji wa kasulu kwa kushirikiana na mashirika yasiyo ya kiserikali wameadhimisha sikukuu ya…

19 June 2024, 12:18

Jamii yatakiwa kuwathamini watoto Kasulu

Kutokana na vitendo vya ukatilii vinavyoendelea kushamili kwa watoto kwenye wadau wametakiwa kuunga mkonojuhudi za kuwalinda watoto. Na Michael Mpunije – Kasulu Jamii wilayani kasulu Mkoani Kigoma imetakiwa kuwathamini watoto kwa kuwapatia mahitaji yao ya msingi ikiwemo huduma za afya…

17 June 2024, 09:10

TANROADS Kigoma yaagizwa kuweka alama za tahadhari mlima Busunzu

Serikali kupitia wizara ya ujenzi imesema inaendelea na ujenzi wa barabara ya kabingo – kasulu ili kurahisisha shughuli za usafirishaji. Na Kadislaus Ezekiel – Kibondo Naibu Waziri wa Ujenzi, Eng. Godfrey Kasekenya amemuagiza Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS) Mkoa…

14 June 2024, 09:13

Usafirishaji holela wa kemikali ziwa Tanganyika hatari kwa viumbe

Serikali ya Tanzania imesema itaendelea kutoa elimu ya usafirishaji wa kemikali kupitia ziwa Tanganyika ili kusaidia kupunguza madhara yanayoweza kujitokeza iwapo wasafirishaji hawatazingatia usafirishaji bora wa kemikali. Na Kadilsaus Ezekiel – Kigoma Wasafirishaji wa Bidhaa mbalimbali katika nchi jirani za…

13 June 2024, 09:32

“LATRA chukueni hatua kwa wanaokiuka sheria”

Mkuu wa Wilaya Kigoma Mh. Salum Kalli amewataka wasimamizi wa wa vyombo vya usafiri kuhakikisha madereva na wamili wa mabasi yaendayo mikoani wanazingatia kanuni za usalama barabarani ili kuzuia ajali za barabarni. Na Josephine Kiravu – Kigoma Abiria wanaosafiri kutokea…

12 June 2024, 12:09

“DC kibondo wanawake wanafanyiwa ukatilii hawasemi”

Katika kukabiliana na vitendo vya ukatilii na unyanyasaji kwa wanawake na watoto, wadau na serikali wametakiwa kuungana kwa pamoja kushughulikia ukitilii dhidi ya vitendo hivyo ambavyo vimekuwa vikiacha kovu na huzuni miongoni mwa wahanga wa matukio hayo. Na James Jovin…

12 June 2024, 08:27

Kumbi za video chanzo cha ukatilii na ulawiti watoto

Jamii wilayani kasulu imetakiwa kushirikiana na serikali, wadau na wazazi kudhibiti watoto kutoenda sehemu za sterehe ikiwemo kwenye vibanda vya video ili kupunguza kufanyiwa ukatilii. Na Michael Mpunije – Kasulu Wazazi na walezi wilayani Kasulu mkoani Kigoma wametakiwa kudhibiti watoto…