FM Manyara

Ukatili

June 28, 2024, 4:51 pm

Jamii Manyara yatakiwa kupinga vitendo vya kikatili

Ili kupunguza vitendo vya kikatili vinavyoendelea nchini, wazazi mkoani Manyara wametakiwa kuwalea watoto wao na kuwapa malezi bora yatayowakinga na ukatili unaofanyika katika familia na mitandao. Na Angel Munuo Wazazi na walezi wilayani Babati mkoani Manyara wametakiwa kuwalea watoto wao…

June 18, 2024, 7:25 pm

Ubakaji, ulawiti vyashamiri Manyara

Katika kukomesha vitendo vya ukatili kwa watoto mkoani Manyara jamii yatakiwa kuwapa elimu watoto wao kwakua  kufanya hivyo kutawasaidia watoto hao kupambanana na kila aina ya ukatili. Na Marino Kawishe Idara ya Maendeleo ya Jamii Halmashauri ya Mji Babati  imetoa…

June 15, 2024, 5:09 pm

Binti wa kazi za ndani anusurika kifo Manyara

Wakati dunia ikielekea kuadhimisha siku ya mtoto wa Afrika Juni 16, 2024, binti wa miaka 15 mkoani Manyara amepigwa na mwajiri wake wakishirikiana na baba mwenye nyumba maeneo mbalimbali ya mwili  ikiwemo kichwani na miguuni kwa kutumia kisu, nondo na…

June 4, 2024, 6:23 pm

Watoto milioni 5.1 wanatumikishwa nchini

Mikoa ya Mwanza, Simiyu na Shinyanga yaongoza kwa utumikishwaji wa watoto nchini kwa kiwango kikubwa ikilinganishwa na mikoa mingine ambapo elimu inahitajika kutolewa kwa jamii. Na Marino Kawishe Kuelekea siku ya kupinga utumikishwaji kwa watoto serikali imetakiwa kukomesha utumikishwaji  wa…