FM Manyara

Uhalifu

June 3, 2024, 5:15 pm

Mashine 49 za mchezo wa kubahatisha zakamatwa Manyara

Kamanda  wa polisi mkoani Manyara Geogre Katabazi awataka wamiliki na wafanya biashara wa michezo ya kubatisha kuzingatia taratibu za sheria na kanuni zilizowekwa na bodi ya michezo  Na Emmy Peter Jeshi la polisi mkoa wa Manyara  kwa kushirikiana na maafisa…

May 21, 2024, 11:38 pm

Jela miaka 24 kwa kukutwa na nyara za serikali

Hakimu wa wilaya ya Babati Mkoani Manyara Victor kimario awahukumu kwenda jela miaka 24 kila mmoja Fred Meibuko (28) mkazi wa mvugue mkoani Tanga na Issa mafita (30) mkazi wa wilayani Babati kwa kosa la kukutwa na jino moja la…