FM Manyara

Mauaji

May 8, 2024, 11:02 pm

Jela miaka 20 kwa kukutwa na nyama ya twiga

Hakimu wa wilaya ya Babati Victor Kimario awahukumu kwenda jela miaka 20 Paul Himid na Athumani kwa kukutwa na nyama ya twiga,kichwa na mkia wa twiga kinyume cha sheria. Na George Agustino Mahakama ya wilaya ya Babati mkoani Manyara imewahukumu…

March 15, 2024, 11:27 pm

Watatu wauawa akiwemo mama mjamzito Manyara

Polisi Manyara inamshikilia  Ahita Dahachi (42), kwa tuhuma za kumuua mama yake mzazi na mama mjamzito. Na Mzidalfa Zaid Jeshi la Polisi mkoani Manyara linamshikilia  mtu mmoja aliyefahamika  kwa jina la Ahita Dahachi (42), kwa tuhuma za kuwaua watu watatu…