FM Manyara
Maafa
May 22, 2024, 7:10 am
Silo atoa magunia 10 ya mahindi kwa waathirika Manyara
Wakazi 500 katika kata Magara wilayani Babati mkoai Manyara wamekosa mahali pa kuishi baada ya nyumba zao kufunikwa na maji ya ziwa Manyara kutokana na ziwa hilo kufurika kutokana na mvua. Na Emmy Peter Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani…