FM Manyara

Dini

May 20, 2024, 9:18 pm

Viongozi wa dini Manyara walia na maadili mabovu

Ili kuendelea kuwa na maadili mazuri katika familia, wazazi wametakiwa kuwalinda watoto wao na kuwapa malezi bora kwa kushirikiana na jamii kwa pamoja ili kusaidia kuwa na kizazi bora katika jamii. Na Hawa Rashid Viongozi  wa dini mkoani Manyara wameitaka…