Afya
June 25, 2024, 1:29 pm
Manyara yatajwa kuwa na asilimia 32 ya udumavu
Licha ya mkoa wa Mnyara kuwa na uzalishaji mkubwa wa vyakula mbali mbali hali ya udumavu imeonekana kuwa juu hasa katika maeneo ya kata ya Bashay iliyopo wilaya mbulu vijijini Na Marino Kawishe Mkoa wa Manyara umetajwa kuwa na silimia…
June 13, 2024, 5:07 pm
Maadhimisho ya damu salama kitaifa kufanyika Manyara
Zoezi la uchangiaji limeanza juni 1 2024 kwakuweka kambi katika maeneo mbali mbali ya mkoa wa Manyara na wananchi kuchangia damu pamoja na utoaji wa elimu ambapo kilele chake kitafanyika june 14 katika ukumbi wa CCM mkoa mkoani Manyara Na…
May 28, 2024, 10:16 pm
FM Manyara yagawa taulo za kike kwa wafungwa, wanafunzi
Leo ikiwa ni Siku ya Hedhi Salama duniani mabinti na wanawake wote kwa ujumla wametakiwa kujihifadhi kwakutumia taulo za kike, FM Manyara radio imetembelea na kugawa taulo za kike kwa wanafunzi pamoja na wafungwa wanawake wilayani Babati mkoani Manyara na…
April 21, 2024, 12:01 am
Manyara kutoa chanjo saratani ya mlango wa kizazi kwa mabinti
Serikali imeanza kampeni ya chanjo ya mlango wa kizazi kwa mabinti kuanzia umri wa miaka 9 hadi 14 itakayotolewa katika shule za msingi na sekondari pamoja na vyuo ili kuwaepusha na saratani ya mlango wa kizazi. Na Hawa Rashid Zaidi…
April 11, 2024, 6:16 pm
Sendiga aitaka Babati mji kutafuta ufumbuzi wa taka
Halmashauri ya mji wa Babati yatakiwa kutafuta magari ya kuzolea taka. Na Angel Munuo Mkuu wa mkoa wa Manyara Queen Sendiga ameitaka Halmashauri ya mji wa Babati kuhakikisha wanatafuta ufumbuzi wa kupata magari ya kuzolea taka wakati wakijipanga kupata gari…
April 9, 2024, 2:47 pm
NHIF yaboreha kitita cha mafao
Jamii mkoani Manyara imetakiwa kujiunga na mfuko Taifa wa bima ya Afya. Na George Agustino Jamii mkoani Manyara imetakiwa kujiunga na mfuko wa Taifa wa bima ya afya NHIF ili kuepuka gharama kubwa za matibabu wanapokwenda kupata huduma za matibabu…
March 8, 2024, 11:03 am
Wagonjwa 10 wa kipindupindu waruhusiwa Mrara
Wagonjwa waliokuwa wanaugua ugonjwa wa kipindu pindu waruhusiwa baada ya kupatiwa matibabu. Na Mzidalifa zaid Wagonjwa 10 waliokuwa wanaugua ugonjwa wa kipindupindu katika hospitali ya mji mrara wilayani babati mkoani manyara wameruhusiwa baada ya kupatiwa matibabu ambapo wananchi wametakiwa kuendelea …
February 23, 2024, 5:53 am
Maafisa lishe, ustawi wa jamii watakiwa kutoa elimu ya malezi bora kwa watoto
Serikali mkoani Manyara imewataka maafisa lishe na maafisa ustawi jamii kutoa elimu kwa wazazi katika mikutano mbalimbali ya kijamii namna ya kumuandaa mtoto kwa kumlea katika malezi bora Na Mzidalfa Zaid Serikali mkoani Manyara imewataka maafisa lishe na maafisa ustawi…
February 23, 2024, 5:41 am
Kichanga chaokotwa katika shimo la kuhifadhia maji taka Babati
Na Emmy perter Mwili wa mtoto mchanga umeokotwa leo katika chemba ya kuhifadhia maji taka katika mtaa wa mji mpya nyumba ya ndugu Raeli wanayoishi wapangaji katika kata ya Maisaka wilayani Babati mkoani Manyara. Mwenyekiti wa mtaa huo John Mosko …