Dodoma FM
WWF
30 April 2021, 9:36 am
WWF yaishukuru Serikali kwa kushiriki juhudi utanzaji wa Mazingira
Na; Benard Filbert. Shirika la uhifadhi wa mazingira Duniani (WWF) limeishukuru serikali ya Tanzania kwa kutoa ushirikiano katika kutekeleza majukumu ya utunzaji wa mazingira nchini hali ambayo imesaidia kuboresha mazingira kwa kiasi kikubwa. Hayo yamesemwa na Afisa mawasiliano kutoka shirika…