Dodoma FM

uzalishaji wa sukari

30 May 2022, 4:45 pm

Waziri Jafo ahimiza utunzaji wa msitu wa Iyumbu Park

Na;Mindi Joseph .    Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Dkt. Seleman Jafo amesema eneo  la msitu la Iyumbu Park likihifadhiwa ipasavyo linaweza kuwa chanzo cha utalii. Eneo hilo lina zaidi ya hekari 3000 limekuwa eneo maalum…