Dodoma FM
Dodoma FM
22 October 2025, 11:59 am
Vijiji vilivyofikishiwa mawasiliano vimeanza kunufaika na huduma za kifedha, elimu, biashara mtandao na fursa nyingine za kidijitali zinazochochea maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Na Mariam Matundu.Serikali kupitia Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) inatarajia kuanza utekelezaji wa awamu mpya ya…
29 September 2025, 2:23 pm
Minara iliyosalia ni 24 pekee, na inatarajiwa kukamilika hivi karibuni ili kuhakikisha huduma za mawasiliano zinafika katika maeneo yote yaliyopangwa. Na Mariam Matundu.Ujenzi wa minara 758 ya mawasiliano unaosimamiwa na Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) umefikia hatua kubwa ya…
18 August 2025, 5:17 pm
Aidha, wananchi walielezwa kuhusu miradi mbalimbali ya kimkakati inayotekelezwa na UCSAF ikiwemo maendeleo ya ujenzi wa minara 758 ya mawasiliano nchini. Na Mariam Kasawa.Imeelezwa kuwa mawasiliano ni muhimu katika kukuza uchumi wa Taifa hili hasa katika shughuli mbalimbali ikiwemo kilimo…
30 July 2025, 1:20 pm
UCSAF imeweka mikakati madhubuti ya kuhakikisha wananchi waishio vijijini wanapata huduma bora za mawasiliano. Na Victor Chigwada.Ikiwa Sera ya Mawasiliano inabainisha kuwa wananchi wote wanapata huduma bora, salama, na nafuu za mawasiliano bila ubaguz,Hali ni tofauti kwa Wakazi wa vijiji…
5 March 2025, 1:00 pm
Wakati huo huo, Waziri Silaa ameshiriki Mjadala wa Kitaifa (National Dialogue Tanzania: Towards a Fully Digitalized Economy) katika kikao cha pembeni na Kampuni ya Watoa Huduma za Mawasiliano Duniani (GSMA) ambao ni waandaji wakuu wa mkutano wa MWC 2025. Na…
5 February 2025, 12:24 pm
Waziri Slaa ameitaka bodi kuzingatia miongozo, taratibu na sheria za uendeshaji wa shughuli za Bodi, ili kuhakikisha utekelezaji wa majukumu yao unakuwa wa ufanisi na wenye tija. Na Mariam Matundu.Waziri wa mawasiliano na teknolojia ya habari Mhe Jerry Sillaa ameitaka…
15 May 2024, 12:36 pm
Mnara huu ulio kaguliwa na Waziri Nape umegharimu kati ya milioni 300 mpaka milioni 350 na ni moja kati ya Minara 758, ambayo Ujenzi wake unatekelezwa katika maeneo mbalimbali hapa Nchini. Na Mariam Kasawa. Mfuko wa mawasiliano kwa wote (UCSAF)…
25 April 2024, 6:26 pm
Ujenzi wa Jengo la Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote UCSAF ulianza April 2021 na ujenzi huu umegharimu bilion 3.8. Na Mindi Joseph.Makamu wa Rais wa Tanzania Dkt. Philip Mpango ameitaka UCSAF kusimamia kwa karibu ujenzi wa minara ya mawasiliano unaoendelea…