Dodoma FM
uchache vyumba vya madarasa
28 May 2021, 1:34 pm
Kata ya mpalanga yakabiliwa upungufu wa vyumba vya madarasa katika baadhi ya shu…
Na; Victor Chigwada. Baadhi ya Shule katika Kata ya Mpalanga Wilayani Bahi zinakabiliwa na upungufu wa vyumba vya madarasa hali inayokwamisha maendeleo ya wanafunzi darasani. Wakizungumza na taswira ya habari baadhi ya wananchi hao wamesema walianzisha ujenzi wa vyumba vya…