Dodoma FM

shujaa

22 March 2021, 12:50 pm

Tanzania itamkumbuka daima Dkt. Magufuli kuwa shujaa na mkombozi

Na; Mariam Kasawa Viongozi mbalimbali walio hudhuria katika tukio la kumuaga Hayati Dkt. John Pombe Magufuli wamemzungumzia  kuwa alikuwa  shujaa na  mkombozi  waTanzania, Afrika na Duniani. Wakizungumza katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma Marais Walio hudhuria shughuli hiyo wamesema watamkumbuka…