Dodoma FM

sheria

7 February 2022, 3:44 pm

Vyombo vya sheria vyaombwa kusimamia haki

Na; Benard Filbert. Vyombo vinavyosimamia sheria nchini vimeombwa kusimamia haki pale inapobainika mtu yeyote kufanya vitendo vya kikatili ili kukomesha  hali hiyo. Hayo yamebeinishwa na afisa miradi Bi Stella Matei kutoka taasisi ya ACTION FOR COMMUNITY CARE ambayo inajihusisha na…

21 May 2021, 12:43 pm

Serikali yaahidi kusimamia sheria ya mtoto

Na; Yussuph Hans Katika kuhakikisha inawakomboa wanawake wanaobebeshwa mimba na kutelekezwa, Serikali imeahidi kusimamia ipasavyo sheria ya mtoto ya mwaka 2009 inayotoa maelekezo juu ya matunzo ya mtoto kwa wazazi wote wawili. Hayo yamebainishwa leo Bungeni Jijini Dodoma na Naibu…