Dodoma FM

ruby

22 April 2022, 2:07 pm

Serikali kufanyia utafiti jiwe la Ruby lililopo Dubai

Na; Shani Nicolous. Mara baada ya taarifa zinazosambaa mitandaoni  kuhusu jiwe la Ruby lililopo Dubai Wizara ya madini imesema inafanya utafiti na kutoa majibu sahihi namna taifa litanfaika na jiwe hilo. Akizungumza bungeni  Naibu waziri wa madini Mh.Dr. Steven Kiruswa…