NaCoNGO
30 September 2021, 1:22 pm
Rais Samia Suluhu Hassan ameyataka mashirika yasiyo ya kiserikali kuzingatia mip…
Na;Mariam Matundu. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameyataka Mashirika Yasiyo ya Kiserikali kuzingatia Mipango na Vipaumbele vya Kitaifa katika kutekeleza majukumu na miradi mbalimbali ya maendeleoRais Samia amesema hayo jijini Dodoma wakati akizungumza na…
13 July 2021, 12:48 pm
NaCoNGO yashauriwa kuwa daraja la kusaidia vijana kuchangamkia fursa za kilimo n…
Na;Mindi Joseph . Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania Mh Mizengo Pinda amelishauri Baraza la Taifa la Mashirika yasiyo ya Kiserikali NaCONCO kuwa daraja la kusaidia vijana kuchangamkia fursa za kilimo na ufugaji. Mhe.Pinda amebainisha hayo nyumbani kwake kijijini Zuzu Mkoani…
10 July 2021, 2:19 pm
Waziri Gwajima azindua rasmi baraza la Taifa la mashirika yasiyo ya kiserikali N…
Na;Mindi Joseph . Waziri wa afya maendeleo ya jamii jinsia wazee na watoto Dkt Doroth Gwajima amezindua rasmi baraza la taifa la mashirika yasiyo ya kiserikali NaCoNGO na kulitaka baraza hilo kufanya kazi kwa weledi, uadilifu na uzalendo kwa kuzingatia…