Dodoma FM
mashirika
28 June 2021, 12:42 pm
Mwenyekiti wa baraza la Taifa la mashirika yasiyo ya kiserikali atangaza mchakat…
Na;Mindi Joseph . Mwenyekiti wa kamati wa baraza la taifa la mashirika yasiyo yakiserikali NaCoNGO Wakili Flaviana Charles ametangaza kuanza kwa mchakato wa uchaguzi katika ngazi ya mikoa yote nchini unaoshirikisha wawakilishi waliochaguliwa kutoka kila wilaya. Akizungumza leo jijini Dodoma…