Dodoma FM

Marais 10

21 March 2021, 10:30 am

Marais wa nchi 10 kumuaga Magufuli Dodoma

Na ; Mariam Kasawa. MaraisĀ  zaidi ya 10 wa Mataifa mbalimbali Duniani wamethibitisha kuhudhuria shughuli ya kumuaga aliyekuwa Rais wa Tanzania,Dkt. John Pombe Magufuli itakayofanyika kesho mjini Dodoma. Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk Hassan Abasi amesema hadi sasa ana orodha…