Dodoma FM

Maandalizi

21 March 2021, 11:57 am

Zoezi la maandalizi lakamilika Jamhuri

Na; Mariam Kasawa Zoezi la kuandaa uwanja wa Jamhuri kwaajili ya kuupokea mwili wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli mpaka sasa yamekwisha kamilika . Akizungumza na vyombo vya habari  Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri mkuu Patrobas Katambi amesema…